Uncategorized

BREAKING: YANGA KUMENOGA, YAMSHUSHA GWIJI ALIYEKUWA BENFICA

admin February 1, 2020 2:36 pm


YANGA leo imemshusha Bongo, Carraca Antonio Domingoz Pinto ambaye alikuwa Mtendaji Mkuu (General Manager) wa Klabu ya Benfica ya Ureno kwa muongo mmoja (miaka 10) ili kuanza kazi ya kushauri kueleka Mabadiliko ya kimfumo ya uendeshaji wa Klabu.

Nguli huyo wa mfumo wa Soka la Kisasa ameletwa kwa hisani kubwa ya Gsm ambao ni wadhamini wa Yanga.

Leo amepokelewa na Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela na Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM Mhandisi, Hersi Said, Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere terminal 3.

VPL:SIMBA 1-0 COASTAL UNION MBICHWA WA SAMATTA WAFANYA YAKE KWA MARA YA KWANZA NDANI YA EPL, LICHA YA TIMU YAKE KUPOTEZA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply