COASTAL UNION: TUNA MBINU MPYA ZA KUIMALIZA SIMBA LEO
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa timu ya Coastal Union amesema kuwa leo watatumia mbinu mpya kuimaliza Simba Uwanja wa Uhuru kwenye mchezo wa Ligi Kuu…
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa timu ya Coastal Union amesema kuwa leo watatumia mbinu mpya kuimaliza Simba Uwanja wa Uhuru kwenye mchezo wa Ligi Kuu…
UONGOZI wa timu ya Arusha umesema kuwa leo hawatafanya makosa mbele ya Pamba FC kwenye mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza. AFC Arusha mchezo wake…
Ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi leo Jumamosi ya kwanza kwa mwezi Februari 2020.
Taarifa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuhusiana na upotoshwaji wa Ratiba ya Ligi Kuu Bara kwa mechi za Yanga.
THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa mchezo wao wa ligi dhidi ya Yanga hawana presha nao kwa kuwa wamejipanga kuwachapa mapema ili…
UBORA anaoendelea kuuonyesha mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere, katika kupachika mabao umefunika uwezo wa klabu za Singida United na Ndanda FC. Kagere ndiye kinara wa…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa tabia ya kuchezea mpira na chenga za maudhi zinazofanywa na Bernard Morrisson raia wa Ghana, hafurahishwi nayo…
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Sven Vanderbroeck anatarajia kuivunja safu yake ya ulinzi inayoundwa na Muivory Coast, Pascal Wawa pamoja na Erasto Nyoni, kisha kuisuka…
KIPA namba moja wa Yanga, Farouk Shikalo Jumatano ya wiki hii aliondoka nchini na kurejea kwao Kenya kwa ajili ya kwenda kutatua matatizo ya kifamilia.…
SIKU chache baada ya uongozi wa klabu ya Yanga kutangaza kuitisha mkutano mkuu wa dharura Februali 16 mwaka huu, mkutano huo umehairishwa hadi hapo watakapotangaza…