Latest Posts
KILA BAADA YA DAKIKA 90 YANGA INAFUNGWA BAO MOJA NA INAFUNGA BAO MOJA NDANI YA VPL
MWENDO wa Yanga ndani ya Ligi Kuu Bara unashtua kutokana na mzani wake kuwa sawa pande zote mbili kwa upande wa kufunga na kufungwa mabao…
NYOTA HUYU NOMA NDANI YA BONGO, KAWATUNGUA MAKIPA WOTE TEGEMEO WA SIMBA
GERALD Mdamu, mshambuliaji wa Mwadui FC amekuwa ni mwiba kwa makipa wote wa kikosi cha kwanza cha Simba kwa kuwatungua wote mabao kila wanapokutana uwanjani.…
KIVULI CHA YANGA CHAKWEPA NA TANZANIA PRISONS, SASA KUHAMIA DODOMA
TIMU ya Tanzania Prisons ya Mbeya imeamua kukimbia kivuli cha Yanga kilichokuwa inaitesa timu hiyo kwa kushindwa kupata matokeo chanya Uwanja wa Samora waliokuwa wanautimia…
KUMBE HICHI NDICHO WALICHOKUWA WANAJIVUNIA SIMBA KUSHINDA MBELE YA NAMUNGO, POINTI 16 MLIMA KWA YANGA
ACHANA na idadi ya mabao ambayo mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara waliyapata mbele ya Namungo FC kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Taifa,…
MBWANA SAMATTA AKOSA CHA KUWAAMBIA MASHABIKI
MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga klabu ya Aston Villa amesema kuwa hana cha kuwaambia mashabiki wa Tanzania zaidi ya asante…
NABII ATAKA BILIONI 115 AMFUFUE KOBE, ISHU NZIMA IMEKAA NAMNA HII
WAKATI dunia ikiendelea kuomboleza kifo cha nyota wa mpira wa kikapu wa Marekani, Kobe Bryant, bintiye Gianna pamoja na watu wengine saba, nabii mmoja kutoka…
KOCHA YANGA AKIWASHA TENA, AWAMU HII NI JUU YA WACHEZAJI
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, amesema kuwa kuna tatizo linaloimaliza safu ya ulinzi taratibu na inahitaji kutafutiwa dawa mapema. Yanga ikiwa imecheza jumla ya…
MORRISSON AFANYA BALAA JIPYA YANGA, NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
GSM YAMWAGA MSAADA WA MAANA KWA MAMA ANNA
KLABU ya Yanga kupitia kwa mdhamini wao Kampuni ya GSM leo Januari 30, 2019 wamefanikisha kutoa masaada wa fedha mahitaji ya chakula cha miezi mitatu…