Latest Posts
JEMBE ATUMA UJUMBE HUU YANGA
HUU hapa Ujumbe wa Mwandishi na mchambuzi wa masuala ya michezo Bongo, Saleh Jembe kwenda kwa Yanga:-KWENU UONGOZI WA YANGAKamati ya mashindano kazi yake ni…
MBELGIJI WA SIMBA AWAVAA WACHEZAJI WAKE TENA, KUMBE LUGHA TATIZO
SVEN Vanndrbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kuna tatizo kubwa la mawasiliano kwa wachezaji wake jambo ambalo linawafanya washindwe kupata mabao mengi wakiwa ndani…
YANGA WAJANJA SANA, WAIPIGA BAO MAZIMA SIMBA KWA KIUNGO WAO MPYA
BERNARD Morrison, kiungo mpya wa Yanga amesema kuwa mashabiki wasiwe na hofu naye ataongeza mkataba mwingine mrefu ili kuendelea kuwapa burudani.Inaelezwa kuwa, Morrison alipewa kandarasi…
MBWANA SAMATTA AKUTANA NA HILI KUTOKA KWA BOSI WAKE MPYA, KAZI ANAYO
DEAN Smith, Kocha Mkuu wa timu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu England amesema kuwa mshambuliaji wake Mbwana Samatta ni lazima aongeze juhudi ili kufikia…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI, JANUARI 26
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili
AZAM FC WAZIDI KUJIFUA, WATUMA UJUMBE HUU KWA WAPINZANI WAO
JAFFARY Maganga, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa kikosi kinaendelea na maandalizi ya mwisho kwa ajili ya mchezo wa kesho, Januari 27 dhidi ya…
MBELGIJI AGEUKA MBOGO, AWAPIGA STOP WACHEZAJI YANGA
KOCHA Mkuu mpya wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael, amewaambia wachezaji wake kuwa ni bora mpira upotee miguuni mwao lakini siyo kubutua mipira. Mbelgiji huyo alitoa…
NGOME MPYA YATENGENEZWA SIMBA
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba, amejijengea ngome ya kufunga mabao kwa kutumia viungo msimu huu kwenye Ligi Kuu Bara. Viungo wa timu hiyo tangu…