MASHUJAA WAPANIA KUONYESHA USHUJAA WAKIPANDA LIGI
ATUNGO Manyundo, Kocha Mkuu wa Mashujaa FC ya Kigoma amesema kuwa wataonyesha ushujaa mkubwa endapo watapanda ligi kuu msimu ujao. Mashujaa FC ilionyesha ushujaa mbele…
ATUNGO Manyundo, Kocha Mkuu wa Mashujaa FC ya Kigoma amesema kuwa wataonyesha ushujaa mkubwa endapo watapanda ligi kuu msimu ujao. Mashujaa FC ilionyesha ushujaa mbele…
UONGOZI wa Namungo FC umesema kuwa kwa sasa unarejea kwenye uwanja wao wa nyumbani, Majaliwa maarufu kuiandalia dozi Mbao FC kwenye mchezo wao wa ligi.…
Sven Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba ameipoteza rekodi ya mtangulizi wake, Patrick Aussems kwenye mechi za Kanda ya Ziwa kwa kusepa na idadi kubwa ya…
BONDIA Floyd Mayweather ameibuka na kuthibitisha kwamba atapambana na Conor McGregor na Khabib Nurmagomedov katika pambano la kurejeana mwaka huu. Nguli huyo wa ndondi kutoka…
Baada ya Kocha wao Mkuu, Luc Aymael, kupewa onyo kutokana na kauli ya kusema alifanyiwa ubaguzi, uongozi wa klabu hiyo umesema hauna namna ya kupingana…
Baada ya kumsajili katika dirisha dogo la usajili, uongozi wa Polisi Tanzania umesema, unaamini golikipa aliyewahi kuichezea Simba, Peter Manyika ataisaidia timu yao kufanya vizuri…
Kocha wa zamani wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema maamuzi yaliyofanywa na viongozi wa Yanga tangu kuanza kwa msimu huu ni mabaya. Zahera ameeleza kuwa maamuzi…
Baada ya Samatta kusajiliwa Rasmi na Aston Villa, Samatta ambae ni mgeni wa ligi kuu ya England yenye mashabiki wengi dunia atakutana na vikwazo kadhaa…
Baada ya kuvuna pointi sita muhimu katika michezo miwili ya Ligi Kuu Bara huko Kanda ya Ziwa, kikosi cha Simba jana kimeingia kambini kujiandaa na…
Mchezaji wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga, Mlinda Mlango, Deogratius MunishI ‘Dida’ ni miongoni mwa wachezaji wapya tisa waliojiunga na Lipuli FC katika…