UONGOZI SIMBA WAWEKA SAWA SUALA LA MGAO WA MAMILIONI YA SAMATA ASTON VILLA
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa, amesema sio kweli Simba itapata mgao wa asilimia 20 ikiwa Klabu ya KRC Genk itamuuza mshambuliaji Mbwana Samatta…
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa, amesema sio kweli Simba itapata mgao wa asilimia 20 ikiwa Klabu ya KRC Genk itamuuza mshambuliaji Mbwana Samatta…
FAMILIA ya nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, juzi usiku ilikutana na kusoma dua ya kumtakia kheri kijana wao katika harakati za kuanza kucheza Ligi…
Mbwana Ally Samatta kila anakokwenda kucheza basi ujue Klabu ya Simba inaingiza mkwanja na hii ni kutokana na kuhusika kwenye malezi ya mshambuliaji huyo kabla…
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amemzidi mbinu mpinzani wake Ole Gunnar Solksjaer wa Manchester United kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 kwenye mchezo…
SVEN Vandenbroeck leo ameongoza kikosi chake cha Simba kupata ushindi wa mabao 4-1 mbele ya Alliance FC, iliyo chini ya Felix Minziro.Alliance leo ilianza kwa…
Na Saleh Ally KOCHA Dean Smith wa Aston Villa ndiye aliyemchagua mshambuliaji Mbwana Samatta kutoka KRC Genk kujiunga na kikosi chake kwa ajili ya ukombozi…
Alliance 1-0 SimbaUwanja wa CCM KirumbaGoool: Israel Mwenda dk ya 27Dakika ya 30 Chinedu anapewa huduma ya kwanzaDakika ya 27 Patrick Mwenda anafunga Goooal akiwa…
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa sababu itakayowafanya Simba waifunge Alliance leo ni kupata pointi tatu muhimu kwenye mechi yao itakayochezwa Uwanja wa CCM…
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kilichowabeba mbele ya Yanga kwenye mchezo wao wa jana Uwanja wa Taifa ni morali ya wachezaji kucheza bila kuchoka.Azam…