MOURINHO AMUAGA MMOJA TOTTENHAM
KOCHA wa Tottenham Hotspur, Jose Mourinho, amesema kuwa kiungo wake, Christian Eriksen aondoke akiwa nafuraha. Mara kwa mara kiungo huyo amekuwa akitajwa kuwa anataka kuondoka…
KOCHA wa Tottenham Hotspur, Jose Mourinho, amesema kuwa kiungo wake, Christian Eriksen aondoke akiwa nafuraha. Mara kwa mara kiungo huyo amekuwa akitajwa kuwa anataka kuondoka…
Mshambuliaji raia wa Ghana Bernard Morrison, rasmi juzi alitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wa jijini Dar es Salaam tayari…
Mvutano wa maneno unaendelea kati ya Afisa Habari wa Simba, Haji Manara na Afisa Mhamasishaji na Msemaji wa Yanga, Antonio Nugaz huku kila mmoja akijaribu…
Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba Ismail Aden Rage, amesema alisaini mkataba na TP Mazembe ambao unaiwezesha Simba kupata asilimia 20 ya pesa za…
Kocha Mkuu wa timu ya Simba SC, Sven Vanderbroeck amewapongeza wachezaji wake baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbao FC katika mchezo wa…
LUCY Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga leo ameiongoza timu yake kupoteza kwenye mechi yake ya pili kwa kufungwa bao 1-0 na Azam FC, Uwanja wa…
Dakika ya 60 Chirwa anachezewa rafuDakika ya 56 Ditram Nchimbi anaingia kuchukua nafasi ya Patrick SibomanaDakika ya 54 Mahundi anapeleka mashambulizi kwa ShikaloDakika ya 50…
Kikosi cha Yanga dhidi ya Azam FC 1.Farouk Shikalo 2.Juma Abdul 3.Jaffary Mohamed 4.Lamine Moro 5.Ally Mtoni Sonso 6.Papy Tshishimbi 7.Deus Kaseke 8.Haruna Niyonzima 9.David…
Kikosi cha Azam FC dhidi ya Yanga 1.Razak Abalora 2.Nikolas Wadada 3.Bruce Kangwa 4.Daniel Amoah 5.Oscar Masai 6.Braison Raphael 7.Joseph Mahundi 8.Salum Aboubakar 9.Shaban Idd…