SINGIDA UNITED YACHEKELEA POINTI TATU, YAWATAJA WAKONGWE KUHUSIKA
UONGOZI wa Singida United umesema kuwa uwepo wa wakongwe ndani ya timu hiyo umeanza kuwapa matokeo ya kile ambacho walikuwa wamekikosa kwa muda mrefu.Singida United…
UONGOZI wa Singida United umesema kuwa uwepo wa wakongwe ndani ya timu hiyo umeanza kuwapa matokeo ya kile ambacho walikuwa wamekikosa kwa muda mrefu.Singida United…
Leo Januari 12, 2020 wananchi wa Zanzibar wanaadhimisha miaka 56 ya mapinduzi. Mapinduzi ya Zanzibar yalitokea mwaka 1964 ili kumuondoa madarakani Sultani wa Zanzibar na…
LEO Jumapili, Kilimanjaro Queens watakuwa na kibarua cha kupambana na timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 17 ya Burundi. Timu hizo zitapambana katika…
KUNA matawi mengi maarufu ya Klabu ya Simba, lakini lipo taji moja lina umaarufu mkubwa na maana kubwa sana kwa mpira wa kisasa. Tawi hilo…
KESHO, Visiwani Zanzibar, Uwanja wa Amaan, kutakuwa na mchezo wa kukata na shoka kati a Mtibwa Sugar na Simba ambao utakuwa ni wa fainali ya…
Muonekano wa gazeti la Spoti Xtra katika ukurasa wa mbele leo Jumapili.
MABINGWA wa kihistoria Tanzania, Yanga wameanzisha ushirikiano na klabu kubwa ya Kaizer Chiefs, vinara wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini. Hiyo ikiwa ni miezi michache…
Uongozi wa klabu ya Simba umesema haujaachana na wachezaji wake Aishi Manula pamoja na Erasto Nyoni. Kwa mujibu wa CEO mpya wa Simba, Senzo Mazingisa,…
Uongozi wa klabu ya Yanga umesema hauwezi kuelezea zaidi suala la James Kotei ambaye anatajwa kurejea Tanzania. Taarifa zimekuwa zikisema kuwa Kotei anaweza akarejea Tanzania…
NYOTA wa zamani wa Yanga, Bakari Malima ‘Jembe Ulaya’ amesema baadhi ya wachezaji walicheza chini ya kiwango na kusababisha timu hiyo kung’olewa kwenye hatua ya…