SIMBA YAANZA NA USHINDI LIGI KUU VODACOM, KAGERE ATUPIA MBILI JKT WAKITWANGWA 3-1
Kikosi cha timu ya Simba kimefanikiwa kuanza ligi msimu huu kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya JKT Tanzania.Mechi hiyo imepigwa uwanja wa Uhuru jijini…
Kikosi cha timu ya Simba kimefanikiwa kuanza ligi msimu huu kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya JKT Tanzania.Mechi hiyo imepigwa uwanja wa Uhuru jijini…
Kikosi cha JKT Tanzania dhidi ya Simba
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limezitaka klabu za Ligi Kuu, Ligi Daraja la Kwanza na la Pilikuwasilisha ripoti kamili ya vipimo vya afya.
Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya JKT Tanzania1. Aishi Manula2. Haruna Shamte 3. Mohamed Hussein4. Tairone Da Silva 5. Erasto Nyoni 6. Gerson Fraga7. Deo Kanda 8. Mzamiru Yassin9.…
Yanga jana imechezea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Ruvu Shooting ikiwa ni mechi ya kwanza ya ligi kuu lakini upande wa pili yaani Simba,…
BAADA ya kuanza kwa kuchechemea ndani ya Ligi Kuu Bara inayodhaminiwa na Vodacom kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Azam FC uwanja wa Uhuru, leo…
Katibu Mkuu wa zamani wa Simba, Kassim Dewji leo amefika katika Mahakama ya Haimu Mkazi wa Kisutu na kutoa ushahidi. Dewji ambaye alianza kuwa katibu…
Yanga itafanya ziara yake jijini hapa kuanzia Jumatano ijayo na itacheza michezo miwili ya kirafi ki ikiwa ni pamoja na kushiriki shughuli za usafi jijini…
SHAHIDI namba saba wa kesi inayowakabili waliokuwa viongozi wa Simba, Evans Aveva na wenzake, Frank Mkilanya (45) ameieleza mahakama jinsi nyasi za Uwanja wa Bunju…