TAKWIMU ZA MCHEZO WA LEO UWANJA WA UHURU ZIPO NAMNA HII, YANGA WATANDAZA SOKA WAAMBULIA KICHAPO
Yanga leo imepoteza mchezo wake wa kwanza mbele ya Ruvu Shooting kwa kukubali kufungwa bao 1-0 lililopachikwa na Sadat Mohamed dakika ya 20.Ruvu Shooting wanasepa…