WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MGENI RASMI LEO UWANJA WA TAIFA
SIMBA leo wanafika kilele cha SportPesa Simba Wiki ambapo uwanja wa Taifa kutachezwa mchezo wa kirafiki kati ya Simba na Power Dynamo.Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa…
SIMBA leo wanafika kilele cha SportPesa Simba Wiki ambapo uwanja wa Taifa kutachezwa mchezo wa kirafiki kati ya Simba na Power Dynamo.Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa…
KIKOSI cha KMC leo kimeibuka kidedea kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya timu ya Kariobang Sharks uliochezwa uwanja wa Uhuru.Ofisa Habari wa KMC,…
UONGOZI wa Simba umesema kuwa leo hakuna namna yoyote jambo la kwanza ni mashabiki kujaza uwanja kisha burudani zitafuata.Haji Manara Ofisa Habari wa Simba amesema:”Tunajua…
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kwa sasa unafanyia kazi mapungufu ya kikosi hicho kwa ajili ya mchezo wa kimataifa dhidi ya Kenema ya Ethiopia.Azam…
MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere amewataka mashabiki wa kikosi hicho wajitokeze kwa wingi leo uwanja wa Taifa kuipa sapoti timu hiyo itakapocheza mchezo wa kimataifa…
PEP Guardiola, Meneja wa Manchester City, amesema kuwa kwa sasa wameanza na mwanzo mzuri hasa baada ya kutwaa taji la ngao ya jamii.Manchester City ni…
UONGOZI wa Yanga umeamua kutupa dongo kimtindo kwa wapinzani wao Simba kuhusu ubora wa jezi zao.Kwa sasa vita kubwa iliyopo ni nani ana jezi bora…
KIKOSI kamili cha timu ya AS Vita ya Congo kikiwa kamili na beki kipenzi cha Simba, mzee wa kumwaga na kupandisha maji, Zana Coulibary ndani
DISMAS Ten, Kaimu Katibu wa Yanga amesema kuwa kwa sasa wamejipanga kufika mbali kwenye michuano ya kimataifa hivyo wataanza kazi na Township Rollers Agosti 10.Yanga…
IDD Chehe, Kocha Msaidizi wa kikosi cha Azam FC amesema kuwa tatizo kubwa ambalo ni pasua kichwa kwa sasa ndani ya kikosi hicho ni umaliziaji…