Latest Posts
MANULA AVUNJA REKODI YA DAU USAJILI SIMBA
Kipa namba moja wa timu ya taifa, Taifa Stars na Klabu ya Simba, Aishi Manula, anatajwa kuwa mchezaji wa kwanza mzawa kusaini kwa dau kubwa…
JESHI KAMILI LA YANGA HILI HAPA, SALAAM ZAO WAPINZANI
YANGA ndiyo timu pekee iliyofanya usajili wa haraka na kukamilika kabla dirisha la usajili kufunguliwa rasmi jana.Dirisha hilo la usajili linatarajiwa kufungwa Julai 31, mwaka…
SABABU YA RUVU SHOOTING KUFANYA KLINIKI KWA WACHEZAJI YATAJWA
UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa kwa wachezaji wote wenye vipaji na wanajua kucheza mpira ni zamu yao kujitokeza leo kwa wingi uwanja wa Mabatini…
BEKI MPYA MANCHESTER UNITED AMTAJA ALIYEMPELEKA UNITED
AARON Wan- Bissaka ambaye ni beki mpya ndani ya Manchester United amesema kuwa meneja wa timu hiyo Ole Gunnar Solkjaer ndiye amesababisha ajiunge na timu…
SIMBA YAIBUKA NA JINGINE KUBWA LA USAJILI WIKI HII
Alichokizungumza Ofisa Mtendaji wa Simba, Crescentius Magori kuhusiana na usajili wa timu hiyo kwa wiki hii.
KOCHA MBRAZIL APONGEZA SILVER NA FRAGA KUSAJILIWA SIMBA ‘ WAMEPATA VIFAA’
KOCHA Mbrazil aliyewahi kutamba na Taifa Stars na Azam, Itamir Amorin ameukubali usajili wa Wabrazil uliofanywa na Simba inayojiandaa na Ligi ya Mabingwa Afrika inayoanza…