Uncategorized

SABABU YA RUVU SHOOTING KUFANYA KLINIKI KWA WACHEZAJI YATAJWA

admin July 2, 2019 5:34 am


UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa kwa wachezaji wote wenye vipaji na wanajua kucheza mpira ni zamu yao kujitokeza leo kwa wingi uwanja wa Mabatini ili kuanza mchujo kwa gharama zao.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa ni fursa kwa kila mchezaji kuonyesha uwezo wake na atakayepenya atasajiliwa moja kwa moja.

“Tunaanza leo asubuhi kufanya mazoezi ambapo yatakuwa ni kwa muda wa siku tatu, muda ni kuanzia saa mbili asubuhi mwisho itakuwa Alhamisi na lengo ni kupunguza gharama za usajili,” amesema .

SIMBA WATAJA KILICHOKWAMISHA UJENZI WA UWANJA BUNJU – VIDEO BEKI MPYA MANCHESTER UNITED AMTAJA ALIYEMPELEKA UNITED

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply