LATEST ARTICLES
MASHABIKI WA POWER DYNAMO WATINGA DAR
Mashabiki wa Klabu Bingwa nchini Zambia Power Dynamos wapo safarini kuelekea jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuishangilia timu yao, itakayokabiliwa na mchezo...
AUCHO APIGIWA SALUTI NA MWAMBA HUYU
Tanzania imebarikiwa kuwa na wachezaji wengi bora katika eneo la kiungo sio bara tu hadi visiwani Zanzibar ambako kwa hakika kumekuwa kukitoa wakali wengi...
NGOMA NA MKUDE WAWEKWA JAHAZI MOJA KISA HIKI HAPA
Kwa sasa mashabiki wa Simba wako katika kilele cha furaha kutokana na kiwango ambacho kinaonyeshwa na Kiungo Mkongomani Fabrice Ngoma tangu atue hapo Unyamani.
Fabrice...
GAMONDI AWAAMSHIA MABEKI YANGA KISA HIKI HAPA
Wakati Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wakitarajia kuchuana na Al Merrikh keshokutwa Jumamosi (Septemba 30), Kocha Miguel Gamondi, amewataka mabeki wake kuongeza...
ROBERTINHO AITISHA KIKAO CHA DHARULA SIMBA KISA HIKI HAPA
Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amefanya kazi ya ziada ya kukutana na mchezaji mmoja mmoja ili kufanikisha mipango ya kushinda mchezo...
KARIA AIBWAGA SIMBA KAMA MASIHARA
Unahitaji muda sana kuuelewa mpira wetu. Una njia zake. Unajiendesha kivyake vyake. Nigumu sana kumpata Mtanzania ambaye sio shabiki wa Yanga wala Simba. Ni...
KUHUSU HALI YA INONGA DAKTARI AFUNGUKA HAYA
Imeelezwa kuwa Beki kutoka DR Congo Henock Inonga Baka, anatarajia kurejea dimbani mapema zaidi ya ilivyodhaniwa, kufuatia jeraha lake kuendelea vizuri.
Daktari wa klabu hiyo,...
MAJANGA, LOMALISA KUIKOSA AL MAREIKH ISHU IKO HIVI
Beki wa kushoto wa Young Africans, Joyce Lomalisa anaendelea vizuri licha ya jeraha alilolipata kwenye mechi ya Namungo FC na kushindwa kuendelea na mechi...
UJIO WA AFCON SIMBA YAHUSISHWA…. ISHU IKO HIVI
Mchambuzi wa masuala ya uchumi Scanda ameelezea sababu shawishi zilizosaidia kuitangaza Tanzania kiasi cha CAF kushawishika kwenye hii pamoja Bid 2027 kuandaa AFCON.
Mchambuzi huyo...
ALIYMBEBA MAYELE ATAKIWA HUKU
Kocha wa Klabu ya Pyramids ya Misri anayoichezea Fiston Mayele, Mreno Jaime Pacheco ameripotiwa kutakwa na klabu ya Marseille ya Ufaransa ambayo kwa sasa...