FEI TOTO ATAJA KIKOSI BORA CHA MSIMU…AMTAJA POCOME…CHAMA NJE
Kiungo wa Zamani wa Yanga anayekipiga Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto‘ ambaye amepachika mabao 19 msimu huu akisema ndio msimu wake bora licha ya…
Kiungo wa Zamani wa Yanga anayekipiga Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto‘ ambaye amepachika mabao 19 msimu huu akisema ndio msimu wake bora licha ya…
NASRADDINE NABI Aliyewahi Kuifundisha Yanga SC na kutwaa mataji yote ya ndani, Muda wowote anaweza kutangazwa kama kocha Mkuu wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini…
Simba Queens ipo katika mazungumzo na beki wa kati wa Yanga Princess, Noela Luhala anayemaliza mkataba wake na klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu. Simba…
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Gianni Infantino ametuma salamu za pongezi kwa Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC 2023/2024 Klabu ya…
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limezitaka timu zinazoshiriki michuano ya kimataifa msimu ujao kukamilisha sajili zao mapema. Timu hizo ni Simba, Yanga, AZAM FC na…
Unaambiwa huko Meridianbet Bosi hataki mchezo, ile Promosheni ya shindano la Expanse si unaijua? Basi Pesa zimeongezeka kwa washindi na sasa dau limefikia Tsh Milioni…
Uongozi wa Simba umeshindwa kumshawishi kocha wa makipa wa timu, Mhispania Daniel Cadena kuendelea kubaki baada ya kuandika barua ya kutimka Msimbazi. Cadena ambaye alitaja…
NI MWENDO wa Kimya kimya tu baadae kila kitu kitakuwa sawa, Simba naona wamechagua kufanya mambo yao kwa siri, hususani mabadiliko ndani ya Uongozi na…
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amebainisha maeneo ambayo timu yao ilikosea na kusababisha kushindwa kufanya vizuri kwenye michuano walioshiriki msimu…
UNAIKUMBUKA Mamelodi Sundowns ya Pitso Mosimane? huenda huko mbali, je hii Mamelodi ya Rulani Mokwena? kwenye ubora ule na kiwango kile nyuma yake alikuwepo Kocha…