RASMI…MO DEWJI KURUDI MZIGONI SIMBA….KIGOGO ALIYETAKA ‘KUMTAPELI’ KIBU DENIS ATAJWA…
SIMBA imekubali yaishe baada ya watani zao wa jadi Yanga kubeba ubingwa wa ligi kwa mara ya tatu mfululizo, jambo lililowaumiza Wekundu wa Msimbazi hao…
SIMBA imekubali yaishe baada ya watani zao wa jadi Yanga kubeba ubingwa wa ligi kwa mara ya tatu mfululizo, jambo lililowaumiza Wekundu wa Msimbazi hao…
SIMBA imeendelea kukabana koo na Azam FC ikifukuzia nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kushinda mechi yake ya mwisho ugenini…
Wakati wikiendi hii zikitarajia kuchezwa mechi za nusu fainali ya kombe la shirikisho (CRDB Federation Cup) mshambuliaji Kinda kinda wa klabu Yanga Clement Mzize anaongoza…
Mlinzi wa kati wa klabu Simba Hussein Kazi inatajwa kuwa ni sehemu ya kukamilisha dili la Usajili la Mlinzi wa kati wa klabu ya Coastal…
Azam FC imedhamiria kwa dhati kumrudisha aliyekuwa kipa namba moja wa kikosi hicho, Aishi Manula baada tu ya msimu huu kuisha. Taarifa kutoka ndani ya…
Baada ya Yanga kutwaa taji la 30 la Ligi Kuu Bara, vita imebaki kwa mshindi wa pili kati ya Simba na Azam, lakini wakati hilo…
Kutoka kwa El Bugatti Haji Manara; “Nyimbo rasmi ya FC Madrid, kila Madrid inapocheza popote pale Washabiki wake huimba hiyo nyimbo kabla na baada ya…
Katika kuhakikisha inakuwa na kikosi imara kwenye msimu ujao, uongozi wa Simba umeanza mchakato wa kuhakikisha inambakisha kipa wake chaguo la kwanza, Ayoub Lakred, kwa…
Rise of the Genie ni mchezo wa kasino ya mtandaoni KUTOKA Meridianbet wenye kusisimua kutoka kwa mtoa huduma iSoftBet, ambapo jukumu kuu linashikiliwa na jini…
Michezo kadhaa ya ligi mbalimbali itakwenda kupigwa leo barani ulaya na moja kati ya timu ambazo zitashuka dimbani leo ni klabu ya Manchester United, Chelsea,…