Habari za Yanga leo
Habari za michezo

HIVI NDIVYO MZIZE ANAVYOWAKIMBIZA KIMYA KIMYA MASTAA WAZITO KWENYE FA….

admin May 17, 2024 8:59 am

Wakati wikiendi hii zikitarajia kuchezwa mechi za nusu fainali ya kombe la shirikisho (CRDB Federation Cup) mshambuliaji Kinda kinda wa klabu Yanga Clement Mzize anaongoza kwa utupiaji wa mabao akiwa na magoli matano.

Hii ni orodha ya wachezaji watano bora kwa ufungaji;

1. Clement Mzize, Yanga – 5
2. Edward Songo, JKT – 5
3. Yohana Mkomola, Tabora – 4
4. Joseph Guede, Yanga – 3
5. Sadio Kanoute, Simba – 3

Nusu fainali ya michuano hiyo ityaendelea wikiendi hii kwenye majiji mawili tofauti;

– Mwanza; Mei 18, Azam vs Coastal Union
– Arusha, Mei 19, Yanga vs Ihefu

Fainali ya michuano hiyo msimu huu itachezwa kwenye dim,ba la Tanzanite Kwaraa mjini Babati, Manyara.

Msimu huu Mzize kwenye Ligi kuu hajawa na mafanikio makubwa sana kwenye kuifungia timu yake magoli, lakini atakumbukwa na kazi nzuri aliyoifanya msimu uliopita akiwa na Mayele.

HUSSEIN KAZI NA SIMBA NDIO BASI TENA….KUPISHANA NA LAMECK LAWI MLANGONI… SIMBA NA AZAM WAKO SAKO KWA BAKO NAFASI YA PILI LIGI KUU….FREDY AZIDI KUTIKISA