KUELEKEA MECHI YA KESHO…..MASTAA YANGA WATOA ‘YAMINI’ YA KUFA NA MAMELOD…
Nyota wa Young Africans wameahidi watacheza na kupambana ‘Kufa na Kupona’ ili kuhakikisha wanaiondoa Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini katika mashindano ya kimataifa ya Ligi…
Nyota wa Young Africans wameahidi watacheza na kupambana ‘Kufa na Kupona’ ili kuhakikisha wanaiondoa Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini katika mashindano ya kimataifa ya Ligi…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha, amesema dhamira yao ni kuleta furaha kwa mashabiki kwa sababu wana nafasi ya kufanya vizuri, dhidi ya Al…
Matunda ni lishe muhimu katika mwili wa binadamu lakini kwa upande wa kasino ni kiungo kinachotumika kutoa ushindi kwa wachezaji wa ,michezo ya kasino ya…
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba, Salim Abdullah ‘Try Again’ amewatoa hofu mashabiki waliokata tamaa baada ya kupoteza mchezo wa kwanza wa…
Ikiwa imesalia siku moja tu kabla ya mechi za marudiano za hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kuchezwa, mkwanja mrefu umeweka mezani…
Anaandika Meneja wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally kupitia Instagram yake; ——— Baadhi ya Mashabiki wa Simba waliojilipia nauli…
Mbali na gharama za tiketi kwenye sehemu za mzunguko kutangazwa kuwa ni Tsh 3,000 tiketi za maeneo mengine zinafika hadi Tsh Laki nne eneo la…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha amesema jukumu la kufuzu Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika liko chini ya safu yake ya ushambuliaji.…
Wakati Simba ikikutana na mwamuzi wa nuski kwao aliyepangwa kuchezesha mchezo wa ugenini wa hatua ya Robo Fainali dhidi ya Al Ahly kesho Ijumaa (Aprili…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo Alhamisi ya 4/4/2024 kama lilivyotolewa na kuchapishwa na MCL.