SIMBA KWENDA ZNZ KUCHUKUA ‘DAWA’ YA KUWAMALIZA AL AHLY ….MASTAA HAWA KUKOSEKANIKA…
KIKOSI cha Wekundu wa Msimbazi, Simba kinaondoka leo kuelekea visiwani Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki mbili na kucheza mechi moja ya kirafiki kujiandaa…
KIKOSI cha Wekundu wa Msimbazi, Simba kinaondoka leo kuelekea visiwani Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki mbili na kucheza mechi moja ya kirafiki kujiandaa…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la Leo Jumanne ya 19/3/2024 kama lilivyoandikwa, kuchapishwa, kusambazwa na MCL.
Nenda kusini, kaskazini, magharibu na mashariki, nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ‘Samagoal’ ndiye mchezaji mwenye uwezo mkubwa zaidi kifedha kuliko mchezaji yeyote wa Kitanzania…
KIUNGO wa Simba, Clatous Chama amekiri kuwa mechi yao dhidi ya Al Ahly katika hatua ya robo fainali, itakuwa ngumu, lakini sasa ni muda wao…
AZAM FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Yanga katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa leo usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa,…
Leo hii ndani ya meridianbet mwendo ni ule ule hakuna kupoa yani si Ujerumani, Uingereza, Italia na kwingineko mechi kibao za pea zipo meridianbet. Ingia…
Mwandishi wa habari kutoka Afrika ya Kusini, Dube Mthoko amesema Kocha wa Mamelodi Sundowns, Rhulani Mokwena Hloae anaiogopa Yanga kuelekea mchezo wao wa robo fainali…
Licha ya kuongoza katika msimamo, Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Angel Gamondi, amesema vita ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara bado ni…
Huko kimataifa Yanga inaogopwa na ukitaka kujua hilo msikie Kocha Mkuu wa Asec Mimosas ya Ivory Coast, Julien Chevalier alichokisema baada ya droo ya mechi…
Rais wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans, Hersi Said amesema anaamini Mamelodi Sundown ndio timu pinzani zaidi katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani…