FT:- SIMBA 6-0 TRA…..KANOUTE KAMA PACOME TU…..BENCHIKHA AWATISHA JWANENGA KIBABE….
TIMU ya Simba imetinga kibabe hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) baada ya kuibuka na ushindi mnono wa…
TIMU ya Simba imetinga kibabe hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) baada ya kuibuka na ushindi mnono wa…
Kiungo wa Yanga, Pacome Zouzoua, amesema akilini mwake haiwazi Al Ahly, bali anaifikiria timu watakayokutana nayo kwenye hatua ya robo fainali. Yanga tayari imeshafuzu hatua…
Wakati watu wengi wakimmwagia maua kiungo Mburkina Faso wa Yanga, Stephene Aziz Ki kwa kazi kubwa anayofanya uwanjani, staa huyo amesema mtaalamu zaidi kwenye timu…
Shabiki kindakindaki wa Klabu ya Simba, anayefahamika kwa jina la Mchome amesema kuwa timu yao haina uwezo wa kuwafunga Jwaneng Galaxy kwenye Dimba la Benjamin…
Kikosi cha Yanga tayari kimeshatua jijini Cairo, Misri kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya…
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema klabu yao kuingia hatua ya Robo Fainali Klabu Bingwa wameshazoea tofauti na watani wao…
Nyota wa zamani wa Yanga, Feisal Salum na Fiston Mayele ni kama wamepishana na gari la mshahara. Unaambiwa tangu waondoke Jangwani mambo yamezidi kuwanyookea Wananchi,…
Winga wa Yanga, Augustine Okrah amesema baada ya kupona majeraha aliyoyapata kwenye mechi ya Kombe la Mapinduzi 2024 sasa amerejea kwenye utimamu wake na kadri…
Wakati Simba wakijipanga kuhakikisha wanaibuka na ushindi katika mchezo wa mwisho hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy. Kocha Mkuu wa…
Afisa habari wa Yanga Ali Kamwe amejibu kuhusu Afisa habari wa Simba Ahmed Ally kusema kuwa kufuzu kwa Yanga wa kushukuriwa ni Mo Dewji. “Limeulizwa…