FT:- YANGA 4-0 CR BELOUIZDAD……PACOME DAY YAENDAA KIBABE….HISTORIA MPYA YAANDIKWA CAF..
Baada ya kufuta gundu la miaka 25 kutinga hatua ya makundi, Yanga imeweka historia leo baada ya kufuzu hatua ya robo fainali kwa mara ya…
Baada ya kufuta gundu la miaka 25 kutinga hatua ya makundi, Yanga imeweka historia leo baada ya kufuzu hatua ya robo fainali kwa mara ya…
Jumamosi imefika ndugu mteja wa meridianbet na mechi zote za kukufanya ujikwapulie pesa zipo hapa. Unachotakiwa kufanya ni kuingia na kusuka mkeka wako wa maana…
Simba imekaa patamu na sasa ni ishu ya kushinda kwa Mkapa na kutinga kibabe robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Hii ni baada ya…
Azam ipo kwenye wakati mgumu wa kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kundi kubwa la wachezaji wake kukumbwa na majeraha makubwa. Azam…
Aliyekuwa nahodha Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amesema Ibrahim Abdullah ‘Bacca’ ana kazi ya kulinda kiwango chake, kitakachofanya jina lake liendelee kuwa na heshima mbele ya…
Fanya mambo yote itakapotimia saa 1:00 usiku, kaa chini uangalie boli linavyotembea. Si tu kwamba Yanga itakuwa ikisaka heshima mbele CR Belouizdad ya Algeria, bali…
Nyota wa zamani wa klabu ya Simba Boniface Pawasa baada ya Simba kutoshana nguvu ya bila kufungana na klabu ya Asec Mimosas kwenye dimba la…
Chama cha soka Ghana (GFA) kimemteua beki wa zamani wa Yanga, Joseph Zutah kuwa meneja mkuu wa vituo vyote vya soka nchini humo kuanzia juzi.…
Kocha Mkuu wa Yanga Abdelhak Benchikha amewapongeza wachezaji kwa kucheza soka safi licha ya kupata sare ugenini dhidi ya ASEC Mimosas katika mchezo wa marudiano…
UONGOZI wa benchi la ufundi Simba umesema kuna mambo mawili ambayo wanatakiwa kuyafanya katika mchezo wa mwisho wa kundi lao la Ligi ya Mabingwa Afrika…