KUNA HIZI MIL 13 ZA MERIDIANBET ZINATOKA KILAINIII KUPITIA KASINO YA AMIGO…
Ni moja kati ya sehemu ambayo ukiichagua haiwezi kukuangusha, Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kwa sababu kila kukicha imekuwa ni sehemu ya tumaini langu na lako,…
Ni moja kati ya sehemu ambayo ukiichagua haiwezi kukuangusha, Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kwa sababu kila kukicha imekuwa ni sehemu ya tumaini langu na lako,…
Unaweza kujiuliza maswali mengi baada ya kumuona kiungo mshambuliaji wa Yanga, Augustine Okrah ‘Magic’ akiwa amevaa kinyago kama cha straika Victor Osmhen wa Napoli ambaye…
Mbilinge mbilinge za michuano ya AFCON kule nchini Ivory Coast kumalizika Jumapili kwa fainali ya kibabe sana ambapo ni Nigeria dhidi ya mwenyeji wa mashindano…
Naibu wa Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma ‘Mwana FA’ amezindua jengo la klabu ya Yanga lililopo Mitaa ya Twiga na Jangwani, jijini…
Kocha Mkuu wa Mashujaa FC, Mohamed Abdallah Baresi’ amesema watatumia mbinu za Ihefu FC kuwafunga Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Young Africans. Mashujaa…
Baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji na kurejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara, mastaa wa Young…
MABOSI wa Yanga wana matumaini makubwa na mshambuliaji wao mpya, Joseph Guede huku ukiamini kuwa nyota huyo atafaidika zaidi mara atakaporejea kiungo Mburkinabe, Stephen Aziz…
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro, amesena kuwa licha ya kuufungia Uwanja wa Benjamin Mkapa kupisha ukarabati, utaendelea kutumika kwa baadhi ya…
Kiungo Mpya wa Simba SC, Edwin Balua amesema anaiona nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza licha ya ushindani mkubwa uliopo katika timu hiyo. Balua amesema…
Wydad Athletic imeifanyia umafia Simba baada ya kumchukua mshambuliaji Bouna Amar ambaye Wekundu wa Msimbazi walitangulia kumpigia hesabu. Amar alikuwa mmoja wa mastaa waliofanya vizuri…