RASMII…INONGA ATUPWA SOKONI….AL AHLY, FAR RABAT ZAITWA MEZANI …
Uongozi wa Klabu ya Simba SC umeziita mezani Klabu za AS Far Rabati ya Morocco na Al Ahly ya Misri, zinazotajwa kuhitaji huduma ya Beki…
Uongozi wa Klabu ya Simba SC umeziita mezani Klabu za AS Far Rabati ya Morocco na Al Ahly ya Misri, zinazotajwa kuhitaji huduma ya Beki…
Kinara wa mabao wa klabu ya Simba hadi sasa kwenye Ligi Kuu, Mkongomani Jean Baleke ataendelea kuvaa jezi nyekundu baada ya kujiunga na vigogo wa…
Winga wa Yanga kutoka Afrika Kusini, Mahlatse Makudubela ‘Skudu’, amesema amegundua mbinu mpya ya kupata muda zaidi wa kucheza kikosini. Skudu aliyeanza kukitumikia kikosi hicho…
WE Mudathir umepigaje hapo? Ndivyo mashabiki wa Yanga walivyokuwa wakijiuliza kwa furaha baada ya kiungo huyo mzawa na mzoefu wa Chamazi, kuifungia timu yake bao…
Pitia Ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumanne ya 6/2/2024 kama lilivyochapishwa na kusambazwa na MCL.
Kila mtu ni staa wa maisha yake, kila unachokifanya unaweza kujikuta unafaidika nacho na kukufanya kuwa maarufu, ipo mifano mingi ya watu tunaowafahamu ambao walicheza…
Kocha Mkuu wa Geita Gold FC, Denis Kitambi, amesema Usajili wa Dirisha Dogo uliofanywa na Simba SC utaufanya mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaowakutanisha Februari…
Juzi Simba imeshinda bao 1-0, dhidi ya Mashujaa, Kigoma na kesho itajitupa uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora kucheza na Tabora United ikiwa ni muendelezo…
Wakati mashabiki wa Simba wakiwa bado wanajiuliza namna timu yao itakavyoweza kuyarudisha mabao ya Jean Baleke na Jenerali Moses Phiri, straika mpya wa Wekundu wa…
Kocha Mkuu wa Azam FC, Youssouph Dabo amesema licha ya kutojua hadi sasa uwanja utakaotumika kwa ajili ya mchezo ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi…