HAYA HAPA MAMBO 6 WALIYOPITISHA SIMBA LEO…NAFASI YA MANGUNGU MHHH…KABURU ATOA NENO…
MWENYEKITI wa Kamati ya Maboresho ya Katiba ya klabu ya Simba, Hussein Kitta amesema wanachama wamepitisha mambo sita ambayo walitakiwa kufanyia maboresho. Mambo hayo ni…