WAKATI AFCON IKIRINDIMA …..GAMONDI AANZA ‘KUZIMISI SHOW’ ZA KIMATAIFA YANGA….
KOCHA mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amewaambia mabosi wa timu hiyo wafanye kila wanaloweza apate mchezo wa kirafiki kabla ya kurejea katika michuano ya Ligi…
KOCHA mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amewaambia mabosi wa timu hiyo wafanye kila wanaloweza apate mchezo wa kirafiki kabla ya kurejea katika michuano ya Ligi…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo Jumamosi ya 20/1/2024 kama lilivyotolewa na kuchapishwa na MCL.
Aliyekuwa KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania kabla hajafungiwa jana , Adel Amrouche amekiri kwamba mbinu zake za kiufundi zilifeli wakati Taifa Stars ilipokumbana…
Mpendwa mteja wa Meridianbet wikendi ndiyo hiyo imewadia na maokoto yapo meridianbet pekee endapo utaweka pesa yako na kubashiri mechi zote kuanzia EPL, LALIGA, BUNDESLIGA…
NI ngumu kuamini, ukweli ndio huu, mapito anayopitia kipa Aishi Manula yameshtua mashabiki wa soka kwani hawajamzoea kumuona hivyo alivyo. Manula alirejea tena akitokea kuwa…
Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Morocco, Walid Regragui amesema bao la kwanza lilikuwa muhimu kwenye mazingira magumu kwao na kwamba wamejifunza kutokana na…
Yanga inaendelea kujifua kambini Avic Town Kigamboni ikijiandaa na mechi za Ligi Kuu Bara, Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho (ASFC) zitakazopigwa mwezi…
Vinara wa Ligi Kuu Bara, Azam FC wanatarajia kuweka kambi ya majuma mawili visiwani Zanzibar kujiandaa na mechi za Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho…
Kiungo kutoka visiwani Zanzibar Awesu Awesu amesenma anavutiwa na kiwango cha Kiungo Mshambuliaji wa Young Africans, Pacome Zouzoua na amekuwa akimfuatilia kila timu yake inapocheza.…
Kiungo Mshambuliaji wa Simba SC Clatous Chotta Chama amesema yupo tayari kuikabili Tanzania ‘Taifa Stars’ katika mchezo wa Mzunguuko wa Pili wa Michuano ya Mataifa…