ISHU YA MSUVA KUPIGWA KIBUTI NA WAARABU…UKWELI WOTE USIOSEMWA HUU HAPA…
Rasmi klabu ya JS Kabylie ya Algeria imechana na mshambuliaji Mtanzania Simon Msuva. Katika taarifa yake Kabylie mbali na Msuva pia imeacha na mshambuliaji mwingine…
Rasmi klabu ya JS Kabylie ya Algeria imechana na mshambuliaji Mtanzania Simon Msuva. Katika taarifa yake Kabylie mbali na Msuva pia imeacha na mshambuliaji mwingine…
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro ametembelea na kukagua eneo la Olmoth Jijini Arusha, eneo ambalo litajengwa uwanja mpya wa mpira wa…
Klabu ya Geita Gold leo imetangaza kuachana na kocha wake mkuu, Hemed Suleman ‘Morocco’ huku sababu kubwa ikitajwa kuwa ni kubanwa na majukumu ya timu…
KOCHA Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha amewapongeza wachezaji wake kwa kucheza vizuri na kudai kuwa bado hawajamalizia kazi kwa kuwa wanakibarua kingine cha mechi mbili…
IKIWA ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Uwanja wa Mkapa Yanga wamepata ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Medeama ya Ghana. Ni bao la…
Naibu Waziri wa Sanaa Utamaduni na Michezo, Mh. Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ amemkabidhi nahodha msaidizi wa Simba Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ milioni 10 kutoka kwa…
ACHANA na ubora wa kipa wa Simba, Ayoub Lakred aliouonyesha jana habari ya mjini ni mbinu za kijeshi za kocha wa timu hiyo Belhack Benchikha…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kila mchezaji aliye ndani ya kikosi cha Yanga ana umuhimu na ubora, huku akisisitiza kuwa mchezo wa kesho…
AL Ahly ambayo ilikuwa inashiriki mashindano ya klabu bingwa dunia yanayofanyika Saudi Arabia, huenda ikacheza na Manchester City kwenye mechi ya kutafuta mshindi wa tatu…
MCHEZAJI wa timu ya taifa ya Tanzania anayecheza soka la kulipwa nchini Ukraine kwenye timu ya Shakhtar Donetsk Novatus Miroshi, atakuwa na safari yakwenda nchini…