FARID MUSSA ‘ASUKUMIWA’ SIMBA….MABOSI YANGA WAMPA UKWELI KUWA HATAKIWI….
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Farid Mussa yupo huru kusajiliwa na timu yoyote itakayohitaji saini yake ikiwemo Simba ambayo imepanga kukifanyia maboresho kikosi chake. Hiyo ni…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Farid Mussa yupo huru kusajiliwa na timu yoyote itakayohitaji saini yake ikiwemo Simba ambayo imepanga kukifanyia maboresho kikosi chake. Hiyo ni…
Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu, amesema timu yao imepitia kipindi kigumu cha kukosa matokeo lakini sasa wameanza kuyapata hivyo mashabiki waiunge mkono timu. Amesema…
Tarehe 8 Septemba 1994 ni siku muhimu sana kwa kijana wa Kireno kutoka mitaa ya Maia, Bruno Miguel Borges Fernandes ni jina lililo kwenye vitabu…
Kampuni ya simu za mkononi Infinix Tanzania imezidua simu mpya ambayo itakuwa msada kwa kijana ambaye kwake simu ni kama Ofisi, Infinix HOT 40 pro…
Makosa ya waamuzi wa Ligi Kuu Bara yanaweza kuanza kupungua siku chache zijazo kufuatia taarifa njema ya kufungwa kwa teknolojia ya usaidizi wa video kwa…
Jumapili hii macho yote yatakua katika dimba la Anfield ambapo kutakua na mtanange mkali sana kati ya klabu ya Liverpool ambao watakua wenyeji wa mchezo…
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kuwa kikosi chake kilipaswa kushinda bao nyingi dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo wao wa Ligi wa uliopigwa…
Kiwango alichokionyesha kwenye mechi mbili zilizopita za Ligi ya Mabingwa Afrika, kimembeba kipa Ayoub Lakred kuwa na uhakika wa namba katika kikosi cha kwanza na…
Mabingwa wa michezo ya kubashiri nchini Tanzania kampuni ya Meridianbet leo wamefanikiwa kuigusa jamii tena, Ambapo wametoa msaada kwa madereva Bajaji jijini Dar-es-salaam. Ni utamaduni…
KIUNGO wa Yanga, Jonas Mkude amejikuta mtegoni baada ya nafasi yake kikosini kuendelea kuwa finyu huku baadhi ya vigogo wakitaka aondoke kutokana na mwenendo wake…