ZA NDAAANII KABISA…..BAADA YA KUPIGWA 5G….USAJILI MPYA SIMBA HUU HAPA….
WAKATI dirisha la usajili likitarajiwa kufunguliwa Desemba mwaka huu, Kiungo wa Mtubwa Sugar na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Ladeki Chasambi ameingia kwenye…
WAKATI dirisha la usajili likitarajiwa kufunguliwa Desemba mwaka huu, Kiungo wa Mtubwa Sugar na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Ladeki Chasambi ameingia kwenye…
KOCHA mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amependekeza nafasi tatu kuweza kuboresha kipindi cha usajili wa dirisha dogo ambalo linatarajiwa kufunguliwa Desemba mwaka huu. Katika nafasi…
Akizungumza baada ya timu yake kufungwa magoli 5-1 katika mchezo dhidi ya Yanga, Kocha wa Simba, Roberto Oliveira “Robertinho” amesema kipindi cha pili wachezaji wake…
YANGA SC imeifanyia mauaji timu ya Simba SC baada ya kuichapa mabao 5_1 Mchezo wa Ligi ya NBC Tanzania bara uliochezwa uwanja wa Benjamin Mkapa…
Wikiendi unaweza kuiondoa kwenye unyonge kama utaweka jamvi lako na kampuni ya Meridianbet Jumapili hii kwenye michezo ambayo itakwenda kupigwa Jumapili ya leo katika ligi…
Aliyekuwa kocha wa Coastal Union, Mwinyi Zahera anasema timu zote zinacheza soka la tofauti kulingana na mbinu za makocha wanavyotaka zicheze. Zahera anasema Simba licha…
Beki wa zamani wa Yanga, Ladslaus Mbogo ameangalia kasi na ubora wa Maxi Nzengeli, Azizi KI na Pacome Zouzoua waliokuwa nao kwa sasa ambapo amekiri…
Yanga wanaonekana kuutaka mchezo wa Kariakoo Dabi, ni baada ya Kamati ya Mashindano ya timu hiyo, yenye watu nane imepanga wamekutana Jumatano kwa ajili ya…
Mlinzi wa kulia ambaye ni mchezaji mwandamizi ndani ya kikosi cha Simba, Shomari Kapombe amesema wamepata maandalizi mazuri kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu…
Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ ameweka wazi kuwa ataingia kwenye mchezo wa kesho wa Derby ya Kariakoo dhidi ya watani wa jadi ya…