UKWELI MCHUNGU….JEZI ZILIZOKAMATWA SIO FEKI…NI MICHEZO YA KARIKAOO..SANDALAND KAZIDIWA…
Labda tunaweza kuziita feki (bandia) kutokana na ubora usiokidhi viwango.. Lakini kubwa ni kwamba mwenye dhamana ya kuziagiza hajatoa kibali kwa mwingine yoyote kuagiza kusambaza…