AFCON 2027….KENYA KUJENGA UWANJA WA FAINAL….CAF KUIMWAGIA NEEMA ZAIDI…
Serikali ya nchini Kenya ipo kwenye mpango wa ujenzi wa Uwanja mpya utakaoitwa TALANTA SPORT CITY utakaokuwa na uwezo wa kuchukuwa watazamaji 60,000, Malengo yao…
Serikali ya nchini Kenya ipo kwenye mpango wa ujenzi wa Uwanja mpya utakaoitwa TALANTA SPORT CITY utakaokuwa na uwezo wa kuchukuwa watazamaji 60,000, Malengo yao…
Simba SC inapiga hesabu kubwa kabla ya kukutana na Al Ahly ya Misri kwenye mchezo wa ‘African Super League’ na kuna umafia ameufanya kocha wao…
Simba imeendelea na maandalizi ya kuikabili Al Alhy ya Misri kwenye mechi ya uzinduzi wa michuano mipya ya African Football League itayopigwa Oktoba 20, Uwanja…
Bondia wa ngumi za kulipwa, Hassan Mwakinyo Champez’ ameeleza kutokukubaliana na adhabu ya kufungiwa kwa mwaka mmoja kujihusisha na ndondi na faini ya Sh milioni…
Uongozi wa Simba umekaa kikao na kuazimia kuwaita mezani baadhi ya wachezaji wake wakiongozwa na washambuliaji Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ na Aubin Kramo ili kujadili mikataba…
Nyota watatu wa Yanga wamerejea kikosini kwa ajili ya kuanza maandalizi ya kuivaa Azam FC, ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu unaotarajiwa kuchezwa kwenye Uwanja…
YANGA imebakiza mabao 45 tu katika mechi 25 zilizobaki Ligi Kuu ili ifikie rekodi yake ya ufungaji ya msimu uliopita, lakini tayari imejiwekea rekodi mpya…
KUELEKEA uzinduzi wa michuano ya Afrika Football League (AFL), uongozi wa Simba umezidi jezi maalum watakazovaa katika mchezo wa ufunguzi wa mchezo wao dhidi ya…
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limevithibitisha viwanja 36 vitakavyoweza kutumika kwenye mechi za hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ukiwemo Uwanja wa Benjamin…
NI SUALA la muda tu, ndivyo anavyoamini Geofrey Elias maarufu kama Jeff Megan kuwa mchezaji kinda wa Kitanzania, Novatus Dismas miaka michache ijayo anaweza kucheza…