MKANDA MZIMA WA SAKATA LA MWAKINYO HUU HAPA….ISHU YA KUMGOMBEA DEMU YATAJWA…
Hisia za Mwakinyo na msimamo wa promota, ndivyo vitu ambavyo viko nyuma ya pazia katika sakata la bondia huyo nyota nchini kugoma kupanda ulingoni Septemba…
Hisia za Mwakinyo na msimamo wa promota, ndivyo vitu ambavyo viko nyuma ya pazia katika sakata la bondia huyo nyota nchini kugoma kupanda ulingoni Septemba…
Kocha wa Simba SC, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema baada ya timu yake kuwa na uwezo wa kufunga kila mechi, lakini bado kuna tatizo la mawasiliano…
Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) imemfungia Bondia Hassan Mwakinyo kujihusisha na mchezo wa ngumi nje na ndani ya Tanzania kwa muda wa mwaka…
Wakati mwingine ndoto tamu inakatizwa na kelele. Unatamani uendelee kuota tena lakini haiwezekani. Jose Luis Miquissone ameanza kunitia wasiwasi. Nini kinamtokea? Sijui. Lakini inanitia wasiwasi…
Baada ya kuishuhudia timu yake ikipangwa Kundi B la Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amechimba mkwara mzito kuwa…
Miguel Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuwatambua wapinzani wao katika hatua ya makundi watacheza kwa kutafuta…
Expanse Studios iko tayari kuandika historia huko G2E Las Vegas, ambayo ni Roma ya sasa kwenye ulimwengu wa iGaming, ili kuwasilisha bidhaa mpya ya michezo…
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Angel Gamondi, amesema hataki kuongea lolote kuhusu mechi za hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa BArani Afrika, badala…
Imefahamika kuwa baadhi ya viongozi wa klabu ya Al Ahly ya Misri tayari wapo nchini Tanzania kwa ajili ya kuandaa mazingira ya ushindi kuelekea mchezo…
Afisa Mtendaji Mkuu ‘CEO’ wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara, Adre Mtine amechimba mkwara mzito akiamini kikosi chao kina nafasi kubwa ya kutinga Robo Fainali,…