KWA HILI LA MIQUISSONE NA NTIBAZONKIZA….IPO SIKU SIMBA ‘KITANUKA’….
Viungo wawili wa Simba, Luis Miquissone na Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kuna namna wanazidi kuiva chungu kimoja kutokana na muunganiko…
Viungo wawili wa Simba, Luis Miquissone na Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kuna namna wanazidi kuiva chungu kimoja kutokana na muunganiko…
Hatma ya maombi ya Tanzania, Kenya na Uganda kuandaa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) itajulikana Jumatano (Septemba 27) katika mkutano utakaofanyika…
Mchambuzi nguli wa masuala ya soka nchini, Shaffih Dauda amewaponda baadhi ya mashabiki wa Klabu ya Simba ambao wamekuwa na tabia ya kulalamika kuwa timu…
Picha ya juu ilipigwa tarehe 6. Juni. 2023 Chamazi Complex, ilikuwa baada ya mchezo Simba SC na Polisi Tanzania. Matokeo yalikuwa ushindi wa bao 6-1…
Tanzania imepanda kwa nafasi mbili katika viwango vya ubora wa Shirikisho la Vyama vya Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kwa mwezi Septemba. Ushindi wa bao…
Ligi mbalimbali barani Ulaya zinaendelea wikendi hii na pesa ipo ndani ya Meridianbet na kule kuna ODDS KUBWA, machaguo zaidi ya 1000 na mengine kibao.…
BEKI wa Simba, Hennock Inonga hatokuwa sehemu ya mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos ya Zambia ya kufuatia kushonwa…
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia East Africa Radio, Abissay Stephen amesema kuwa kipa mpya wa Simba SC, Ayoub Lakred bado hajawa na fitness…
Ligi Kuu ya NBC imekamilisha mzungungo wa tatu na mpaka sasa tayari rekodi zimeanza kuwekwa kwa timu na wachezaji. Hii ndio orodha ya waweka nyavu…
Mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu amedai kuwa Mchezaji wao Henock Inonga ameumizwa kwa makusudi na Mchezaji wa Coastal Union Haji Ugando katika mchezo…