HIVI NDIVYO MADEREVA BODABODA NA BAJAJI WALIVYOTOKELEZEA NA UZI WA MERIDIANBET..
Kampuni ya Meridianbet ambayo imekua na utaratibu wa kutoa msaada kwa jamii yake mara kwa mara na wakati huu kampuni hiyo imefika Makumbusho na Mawasiliano…
Kampuni ya Meridianbet ambayo imekua na utaratibu wa kutoa msaada kwa jamii yake mara kwa mara na wakati huu kampuni hiyo imefika Makumbusho na Mawasiliano…
Hayawi hayawi sasa yamekuwa , baada ya kusubiri kwa muda mrefu hatimaye msimu mpya wa soka barani ulaya umerejea na ukiwa na Meridianbet una nafasi…
Leo ni siku ya kusisimua kwa wapenzi wa soka duniani kote, muda wa kuokoteza maokoto ya maana M-Bet umewadia! kwani msimu mpya wa ligi za…
Kocha Mkuu wa Simba SC Robertinho amesema hana wasiwasi na Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Msumbuji Jose Luis Miquissone na tayari wameshamuandalia Programu maalumu. Miquissone amesajiliwa…
Uongozi wa Klabu ya Simba SC, umesema kwa sasa unaendelea kujiweka sawa ili kuiwezesha timu yao inafanya vizuri katika Michuano ya CAF Super League, itakayoanza…
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Burkina Faso Stephen Aziz Ki, ametoboa siri kwa kusema Kocha Mkuu wa Young Africans Miguel Angel Gamondi alimpa maelekezo maalum kabla…
Meneja wa Habari na Mawasilino Simba SC Ahmed Ally amesema wanaami mchezo wa Fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Young Africans hautakuwa mgumu, kama…
Klabu ya Simba SC imefikia makubaliano ya kuinasa saini ya Mlinda Lango, Ayoub Lakred aliyekuwa akiichezea timu ya FAR Rabat ya nchini Morocco inayonolewa na…
Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa hakuwahi kuamini iwapo aliyekuwa kiungo wa klabu hiyo, Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ angeondoka klabuni…
Toleo jipya la mchezo maarufu zaidi wa kasino ya mtandaoni, Roulette, linakuja! Kutoka kwa muandaji wa michezo hii ya kasino Fazi inakuja Roulette Fazi mpya,…