MNYAMA KUZITAKA POINT TATU…PAMBA HALITETE KUSALIA LIGI KUU…
Kocha mkuu wa pamba jiji asema ya kwamba hawapo nafasi nzuri, suala la kushuka daraja halipo maana bado tuna mechi nne mkononi tuta hakikisha pamba…
Kocha mkuu wa pamba jiji asema ya kwamba hawapo nafasi nzuri, suala la kushuka daraja halipo maana bado tuna mechi nne mkononi tuta hakikisha pamba…
Yao kouassi, maarufu kama jeshi alianza kupona lakini inaelezwa amepata majanga mengine eneo alioumia linaweza kukaa njee kwa muda zaidi. Yanga ina subiri repoti ya…
Inaelezwa kuwa, Klabu ya Azam ikitaka kumuuza Fei toto kwa Simba ni lazima waipe Yanga kiasi cha pesa shilingi bilioni moja. Akizungumza kwa code kwenye…
Ndiyo; Kuanzia msimu uliopita mpaka sasa, Simba hakuwahi kushinda dhidi ya Azam FC Prince Dube akiwa Kikosini. Tangu Msimu uliopita Simba SC ameshinda mechi 2…
Ukitazama msimamo wa Ligi baada ya mechi za juma lililopita, ni Yanga, Azam, Simba na Coastal Union ndio ambazo zimejihakikishia kubaki kwenye Ligi kwa ajili…
Meneja wa Habari na Mawasiliano na Msemaji wa Klabu wa Simba SC, Ahmed Ally amesema mchezaji wao Kibu Denis ambaye alihusishwa kujiunga na watani wao…
Kiungo mshambuliaji wa Asec Mimosas, Serge Pokou ameomba rasmi kuondoka klabuni hapo huku akihusishwa na Simba inayoelezwa inampigia hesabu kali. Fundi huyo wa mguu wa…
Mashabiki wameshaanza kushona jezi za Ubingwa wa Yanga msimu huu, lakini Kocha Miguel Gamondi ameshtukia mechi mbili zinazofuata zina mtego mkubwa kwao na akawaweka chini…
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema kuwa kitendo cha mshambuliaji wa Klabu ya Azam, Prince Dube kutokuwepo kwenye kikosi hicho…
Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC ni kama ameutega Uongozi wa Klabu hiyo, katika kipindi hiki ambacho wanamsaka Kocha Mkuu atakayekabidhiwa kikosi kwa ajili ya…