SIMBA NA WYDAD KUPAMBANIA SAINI YA KIUNGO HUYU…KOCHA ATHIBITISHA
Kocha Mkuu wa FC Nouadhibou, Aritz López Garai ameweka wazi kuwa kiungo wa timu hiyo Mohsine Bodda anajiandaa kuondoka ndani ya kikosi hicho mwishoni mwa…
Kocha Mkuu wa FC Nouadhibou, Aritz López Garai ameweka wazi kuwa kiungo wa timu hiyo Mohsine Bodda anajiandaa kuondoka ndani ya kikosi hicho mwishoni mwa…
Shabiki wa Klabu ya Simba, Nabii Meja anasema kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda hana maajabu yoyote ndani ya timu hiyo kwa sababu…
Ofisa Habari na Mawasiliano wa Azam FC, Zakazakazi amesema wamekubali wamecheza chini ya kiwango na kugusia kwamba katika mchezo wa jana Simba SC wamekuwa na…
Aina ya mechi ambayo ilikuwa inahitaji nani atatumia nafasi zake? Maana ilikuwa wazi sana, spaces zipo nyingi sana, ni ishu ya nani atakuwa mfanisi zaidi…
Kuna siri kubwa nyuma ya mabao anayofunga kiungo wa Yanga, Mudathir Yahya ambayo itawafunza wachezaji wengine kuzingatia baadhi ya mambo wanayoambiwa na makocha. Mwanaspoti limebaini…
Furaha imerejea Simba. Mabadiliko yaliyofanywa kwenye benchi la ufundi na kumrejesha Juma Mgunda yameanza kulipa. Ametumia mechi nne tu kubadilisha mambo ndani ya klabu na…
Mwaka 2020, Coastal Union ilipata fedha nyingi kupitia mauzo ya beki Bakari Mwamnyeto ambayo inakadiriwa kufikia takribani Sh 150 milioni. Coastal ilivuna fedha hizo nyingi…
Moja ya eneo ambalo Yanga itaingiza ingizo jipya msimu ujao ni katika nafasi ya kipa na hesabu zao zimeenda kwa kipa namba moja wa timu…
Kocha Mkuu wa Al Hilal ya Sudan, Florent Ibenge amesema itakuwa ni heshima kwake endapo atapata nafasi ya kuinoa timu mojawapo za Ligi Kuu Tanzania…
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba KIBU DENIS PROSPER amekuwa akikacha kuongeza mkataba wake na Simba SC ambao unaisha mwisho wa msimu huu. Viongozi wa…