SIMBA NA WYDAD KUPAMBANIA SAINI YA KIUNGO HUYU...KOCHA ATHIBITISHA
Habari za michezo

SIMBA NA WYDAD KUPAMBANIA SAINI YA KIUNGO HUYU…KOCHA ATHIBITISHA

Marce Ben Komba May 10, 2024 9:21 pm

Kocha Mkuu wa FC Nouadhibou, Aritz López Garai ameweka wazi kuwa kiungo wa timu hiyo Mohsine Bodda anajiandaa kuondoka ndani ya kikosi hicho mwishoni mwa msimu huu.

Simba SC wamekuwa wakitajwa kuiwinda saini nyota huyo raia wa Mauritania aliyelisaidia taifa hilo kufanya vyema kwenye michuano ya AFCON mwanzoni mwa mwaka huu.

Pia, klabu kadhaa za nchini Morocco zikiongozwa na Wydad Casablanca zinaiwinda saini ya kiungo huyo.

SHABIKI SIMBA AMJIA JUU MGUNDA…”HANA MAAJABU YOYOTE…YANGA NDIO KIPIMO UONGOZI WA SIMBA SC WATEGWA NA MGUNDA…SIRI ZA BALUA NA CHASAMBI ZAWEKWA HADHARANI