RAIS LA LIGA:- “ONYO BARCELONA HAMUWEZI KUNUNUA MCHEZAJI MNAYEMTAKA…MASTAA KUUZWA
Rais wa La Liga, Javier Tebas amewaonya Mabingwa wa Soka nchini Hispania FC Barcelona, kwa kuwasisitiza hawawezi kumnunua mchezaji wanayemtaka, kuelekea mwishoni mwa msimu huu…