Habari za Simba leo
Habari za Simba

SIMBA YAFANYA KUFURU…KUMSAJILI KIPA HUYU…KUMBE ALIMUWEKA BENCHI KIPA WA MAN U

Marce Ben Komba April 16, 2024 11:08 pm

Kwa mujibu wa mwandishi wa habari za michezo hasa za usajili kutoka nchini Ghana Nuhu Adams, klabu ya Simba ya Tanzania ina nia ya kumsajili kipa wa timu ya Taifa ya Cameroon Fabrice Ondoa.

Ondoa ambaye alianza mechi 3 kati ya 4 za AFCON 2023 mbele ya kipa wa klabu ya Manchester United Andre Onana kwasasa anacheza klabu ya Nimes Olympique ya ligi daraja la pili nchini Ufaransa.

RAIS YANGA AFICHUA SIRI HII YA KUMFUNGA SIMBA…WAGOMA KUTOKA NJE YA KAMBI YANGA WAFANYA KIKAO CHA SIRI NA WACHEZAJI…GAMONDI;- “SISI SIO MASHABIKI…AMEFUNGUKA HAYA