RIVERS UNITED WAVAMIWA DAR…WAPULIZIWA SUMU…WAIBIWA MAMILIONI YA PESA
Klabu ya soka ya Rivers United kupitia ukurasa wao rasmi wa Twitter wametoa taarifa ya madai ya basi lao kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na…
Klabu ya soka ya Rivers United kupitia ukurasa wao rasmi wa Twitter wametoa taarifa ya madai ya basi lao kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na…
Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Kalala Mayele leo Jumamosi, Aprili 29, 2023 amekabidhiwa jezi maalum namba 50 inayomanisha idadi ya mabao hamsini (50) aliyofunga hadi sasa…
Kocha mkongwe nchini, John Tegete amesema kama Yanga wakiongeza kasi kidogo basi msimu huu itatinga fainali ya Kombe ya Kombe la Shirikisho Afrika na kuwashangaza…
Mshambuliaji kutoka Zambia na Klabu ya Simba SC Moses Phiri anamini ipo siku ataaminiwa na kupata nafasi ya kucheza na ndio hapo atakapomthibitishia Kocha Mkuu…
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Mohammed Nabi amesema kuwa katika mchezo wa kesho dhidi ya Rivers United, hatapaki basi badala yake atashambulia na kujilinda kwa…
Mwandishi wa Habari na Mchambuzi wa Michezo nchini Tanzania Shaffih Dauda amefuta kauli yake ya Underdog kwa Klabu ya Simba SC, baada ya klabu hiyo…
Mara baada ya kuondoshwa kwa cha changamoto ya mikwaju ya penalti kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Kiungo Mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama, ameandika ujumbe…
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Mohammed Nabi amewataka mashabiki wa soka nchini kuacha tabia ya kuwapangia vikosi makocha wao kwa ajili ya mchezo husika kwani…
Manchester United watachukua hatua kwa ajili ya mshambuliaji wa Paris-St Germain na Brazil Neymar, 31, iwapo dau la Qatari bid, linaloongozwa na Sheikh Jassim, kwa…
MZAWA Ayoub Lyanga anayekipiga ndani ya kikosi cha Azam FC ni mtambo wa mabao kutokana na kuhusika kwenye mabao mengi zaidi. Lyanga ameanza kikosi cha…