KIBU AWAINGIZA VITANI SIMBA NA YANGA…MRITHI WA LOMALISA YUPO NJIA PANDA
Taarifa zilizopatikana jijini Dar es salaam zinasema viongozi wa Young Africans wameanza mazungumzo na nyota huyo na kuweka ofa hiyo mezani lakini Kibu hajatoa tamko…
Taarifa zilizopatikana jijini Dar es salaam zinasema viongozi wa Young Africans wameanza mazungumzo na nyota huyo na kuweka ofa hiyo mezani lakini Kibu hajatoa tamko…
Kiungo kutoka visiwani Zanzibar na Klabu ya Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema kila anachokifanya uwanjani ni kwa ajili ya timu yake na anapofunga…
Meneja wa mchezaji wa Simba SC, Kibu Denis aitwaye Carlos Slyvester amesema kuwa sakata la mchezaji wake na Klabu hiyo lolote linaweza kutokea. Kibu yupo…
Ofisa habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa usajili mpya ujao utakuwa baab’kubwa na watasimamisha nchi kwani Rais wa Klabu hiyo, Eng. Hersi…
Beki kisiki wa Yanga, Ibrahim Abdullah ‘Bacca’ amesema mama yake ambaye ni shabiki mkubwa wa Simba, anavutiwa na aina ya uchezaji wa beki wa kati…
Beki wa Yanga, Dickson Job amesema wamekuwa wakionyesha hali ya kupambana zaidi pindi wanapokutana na timu inayozuia muda mwingi tofauti na wale wanaofunguka. Nyota huyo…
Mshambuliaji wa Kagera Sugar, Amza Moubarack Ngamchiya amesema ni kazi ngumu kucheza na timu kubwa kama Yanga yenye kila aina ya wachezaji bora ambao wanaweza…
Aliyewahi kuwa mtathmini wa video na viwango wa Klabu ay Al Nassr ya Saudi Arabia ambayo kwa sasa anachezea Cristiano Ronaldo, Alexandre Kerveillant amewasilisha maombi…
Wakati zikisalia mechi tano kumaliza Ligi Kuu msimu wa 2023/24, presha ipo kwa timu 11 ambazo zinapaswa kuchanga vyema karata zake ili kubaki salama. Hadi…
kaimu Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Juma Mgunda amesema kuwa anaamini ataisaidia timu hiyo kurejea katika makali yake ambayo imeyapoteza kwa siku za hivi…