KIPA ORLANDO AIGOPA SIMBA…AWATONYA HAYA WYDAD CASABLANCA
Kipa wa Orlando Pirates Richard Ofori amewapa tahadhari Wydad Casablanca na kuwaambia wawe makini wanapotua kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam. Wydad ambao…
Kipa wa Orlando Pirates Richard Ofori amewapa tahadhari Wydad Casablanca na kuwaambia wawe makini wanapotua kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam. Wydad ambao…
Kiungo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ leo Aprili 12 alifika mbele ya Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji kujua hatma ya barua yake…
Kocha Mkuu wa Simba, Mbrazil Robert Oliveira ‘Robertinho’ amefunguka kuwa licha ya kuwajua wapinzani wake katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika…
Taarifa zisizothibitishwa zimeenea mitandaoni kuhusu Mchambuzi wa masuala ya michezo nchini kutoka Kituo cha televisheni cha Channel Ten, Juma Ayo kuwa alimuomba pesa Rais wa…
Mara ya mwisho kwa wachezaji wazawa wa Simba kufunga kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara ni Desemba 30, mwaka jana kwenye ushindi wa mabao 7-1…
YANGA inaendelea kupasua anga lakini wakati mashabiki wao wakichekelea mafanikio ya ukuta wao ulioruhusu mabao machache pekee kuna vita mpya imeanzishwa kwenye ukuta wao wa…
Wananchi Yanga SC wameendelea kujikita kileleni baada ya kuwachapa Kagera Sugar bao 4-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mchezo huo ambao Yanga walianza…
BAADA ya kupata nafasi ya kucheza mara mbili na mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize, nahodha wa zamani wa timu hiyo anayekipiga kwa sasa Geita Gold,…
WAKATI homa ya pambano la watani wa jadi ikianza kupanda kabla ya timu hizo kuvaana Jumapili ya wiki hii, SOKA LA BONGO limenasa faili ya…
Kumeibuka mjadala kwenye mitandao ya kijamii huku baadhi ya wachambuzi na mashabiki wa soka wakidai kuwa kiwango cha kiungo mshambuliaji wa Yanga, raia wa Burkina…