YANGA YAPIGA MKWANJA HUU MZITO…SIMBA MATE YAWADONDOKA…ISHU NZIMA HII HAPA
HUENDA hujui, ila ukweli ni kwamba hata kabla Ligi Kuu Bara haijafikia tamati, tayari timu za kumaliza kwenye nafasi Nne Bora kwa msimu huu zimeshafahamika…
HUENDA hujui, ila ukweli ni kwamba hata kabla Ligi Kuu Bara haijafikia tamati, tayari timu za kumaliza kwenye nafasi Nne Bora kwa msimu huu zimeshafahamika…
Pamoja na milango kufunguliwa mapema lakini bado idadi ya mashabiki waliofika uwanjani kishuhudia mchezo wa Ihefu na Simba ni ndogo. ‘Tangu saa 5 asubuhi milango…
WAKATI Ihefu ikiwakaribisha leo Simba, mechi hiyo itakuwa ni vita kati ya mastaa wawili, Yacouba Sogne na Jean Baleke ambao wamekuwa moto kwa timu hizo…
Kocha Msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze amesema hajaridhishwa na kiwango kilichoonyeshwa na timu yake licha ya kupata ushindi na kufanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali…
WAKATI baadhi ya wadau wa soka nchini wakionesha wasiwasi kwa Simba kupenya mbele ya wapinzani wao, Wydad AC ya Morocco, beki wa zamani wa timu…
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Kally Ongala ameichifua kuwa, kwenye timu hiyo hakuna supastaa na mchezaji yeyeote anaweza kuanzia benchi na bado timu ikapata ushindi…
Dar es salaam April 10, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
SIMBA imeanza hesabu kali sana ikitaka kuangusha mbuyu wa Wydad Casablanca na kocha wa timu hiyo Roberto Oliveira ‘Robertinho’ ametamka kwamba anakiamini kikosi chake na…
CLATOUS Chama wa Simba pamoja na baadhi ya mastaa wa Yanga wameichungulia droo ya mechi za robo fainali za michuano ya CAF inayozikutanisha timu hizo…
Dar es Salaam. Kupona kwa nyota majeruhi kunazidi kupunguza presha ya makocha wa Simba na Yanga katika maandalizi ya timu zao kwa ajili ya mechi…