WAWA AMSALITI BOCCO KISA MAYELE…MASTAA WASHANGAZWA ISHU NZIMA IKO HIVI
BEKI Pascal Wawa wa Singida Big Stars ameweka wazi kuwa mmoja wa washambuliaji ambao anawaona wana kitu kikubwa kwenye Ligi Kuu Bara ni Fiston Mayele…
BEKI Pascal Wawa wa Singida Big Stars ameweka wazi kuwa mmoja wa washambuliaji ambao anawaona wana kitu kikubwa kwenye Ligi Kuu Bara ni Fiston Mayele…
BAADA ya kukaa nje ya uwanja wa muda, kiungo mshambuliaji wa Simba, Augustine Okrah ambaye aliifunga Yanga kwenye sare ya bao 1-1 mzunguko wa kwanza…
Mshambuliaji kinara wa Yanga, Fiston Kalala Mayele amesema kuwa alikuwa akitamani kukutana na timu ya Rivers United ya Nigeria katika hatua ya robo fainali ya…
Nimecheki game baadhi za Rivers United kwenye. Kama ile game yao na motema Pemba ile ambayo walifunga moja. Pia nilicheki game yao na Asec Mimosas.…
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amefunguka kwamba wana timu ambayo inaweza kupambana na yoyote kati ya hizo lakini akasema ungekuwa uwezo wake angeomba wapangwe…
Klabu ya Simba imerudishwa tena nchini Morocco ambapo katika hatua ya robo fainali ya Kombe la Mabingwa Afrika imepangwa kucheza na mabingwa watetezi wa kombe…
Droo ya hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho imemalizika nchini Misri kwa timu zinazowakilisha Tanzania Simba na Yanga kujua…
BAADA ya misimu miwili wazawa kuwapiku wageni kunyakua tuzo ya mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara, awamu hii ni kama nyota njema inachomoza kwa mapro.…
STRAIKA wa Simba, Jean Baleke anaitazama Ligi ya Mabingwa Afrika, namna inavyoweza kuongeza maarifa zaidi kwa wachezaji wenye mitazamo ya kufika mbali kwenye karia yao.…
FARID Mussa ndiye alikuwa shujaa akitokea benchi na kuifungia bao la ushindi Yanga dhidi ya TP Mazembe huku akisema ukuta wa wapinzani wao ulikuwa mgumu.…