RIVERS LANGONI KWAO KUNAWAKA MOTO...YANGA KUWENI MAKINI MTAUMIA
Habari za Yanga

LANGONI KWA RIVERS KUNAWAKA MOTO…YANGA KUWENI MAKINI MTAUMIA

Marce Ben Komba April 6, 2023 9:41 am

Nimecheki game baadhi za Rivers United kwenye. Kama ile game yao na motema Pemba ile ambayo walifunga moja. Pia nilicheki game yao na Asec Mimosas.

Na jana nilicheki replay ya game yao na Wydad. Rivers hawana mpira wa kutisha saana kivile ila langoni kwao wanakuwa kama wameweka kitu fulani kama mpirani ni uchawi basi sinabudi kusema Rivers wanajua vizuri kuroga langoni kwao.

Mechi ya rivers na Asec Mimosas, walipata nafasi za wazi karibia tano lakini hakuna hata moja ambayo ilikwenda Langoni zaidi ya kutoka nje. Pia Motema Pembe nao hivo hivo.

Mwisho kabisa nisiwe shabiki saana

NABI AWACHANA RIVERS UNITED…AWAPANIA HASWAA…AMEZUNGUMZA HAYA MAYELE “NILIKUWA NAWATAMANI SANA RIVERS…WALITUTOA MAPEMA WAKAONGEA SANA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply