KIUNGO HUYU WA CONGO ATUA MSIMBAZI….USAJILI WA KIBABE…ROBERTINHO AUPIGA MWINGI
KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ mjanja sana kwani wakati akijipanga kumalizia mechi za msimu huu katika michuano ya kimataifa na ya ndani, lakini…
KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ mjanja sana kwani wakati akijipanga kumalizia mechi za msimu huu katika michuano ya kimataifa na ya ndani, lakini…
JANA tulianza sehemu ya kwanza ya mahojiano yetu na Kocha Mkuu wa Simba, Robert Oliviera ‘Robertinho akifafanua mambo mbalimbali ndani ya ajira yake akiwa na…
Kiungo mkabaji wa Yanga, Mganda, Khalid Aucho amewataka wachezaji wenzake akiwemo Mudathir Yahya na Yannick Bangala kutobweteka watakapokwenda kucheza dhidi ya TP Mazembe ugenini. Yanga…
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC wanashuka dimbani muda mchache kutoka sasa kuwakabili vinara wa kundi C, Raja Casablanca.…
Miamba ya Uganda, Vipers Sc imekubali kichapo cha 2-0 dhidi ya Horoya AC ya Guinea na kuaga michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika bila ushindi…
Klabu ya Raja Casablanca ya nchini Morocco imeiahushia kipigo tena Klabu ya Simba baada ya kuitungua mabao 3-1 katika Dimba la Mohammed wa V katika…
April 01, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
Wakiwa na kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo dhidi ya Raja Casablanca, mikoba ya nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein Zimbwe Jr inatarajiwa kuwa mikononi…
BAO la dakika za majeruhi lililowekwa kimiani na mtokea benchi wa Uganda, Rogers Mato, lilitibua mipango ya Taifa Stars katika safari ya Afcon mwakani nchini…
WAKATI kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Uganda, kikiiweka Taifa Stars katika mazingira magumu ya kufuzu fainali zijazo za Mataifa ya Afrika (Afcon), nyota mwenye…