Home CAF HAWA HAPA VIBONDE LIGI YA MABINGWA AFRIKA…WATOLEWA BILA USHINDI WOWOTE

HAWA HAPA VIBONDE LIGI YA MABINGWA AFRIKA…WATOLEWA BILA USHINDI WOWOTE

0
HAWA HAPA VIBONDE LIGI YA MABINGWA AFRIKA...WATOLEWA BILA USHINDI WOWOTE

Miamba ya Uganda, Vipers Sc imekubali kichapo cha 2-0 dhidi ya Horoya AC ya Guinea na kuaga michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika bila ushindi wowote kwenye mechi 6 za hatua ya makundi, sare mbili, vipigo vinne.

Horoya AC imeaga mashindano ikiwa na alama 7 kwenye Kundi C baada ya mechi 6 ikiwa imeshinda mechi 2 sare moja na vipigo vitatu.

#CAFCL: Uwanja wa Jenerali Lansana Conte
HOROYAAC 2-0 VIPERS SC
Barry 11′ Traore 90+3′
MSIMAMO KUNDI C 1. Raja CA-132. Simba SC -93. Horoyal AC-7 4. Vipers Sc-2

NB: Vipers SC imekuwa klabu ya 24 kwenye historia ya Ligi ya Mabingwa Afrika kumaliza hatua ya makundi bila kuambulia ushindi.