KAKOLANYA AWAGOMEA MABOSI SIMBA…BOCCO NA TRY AGAIN WAINGIA KAZINI
KIPA Beno Kakolanya ameishika pabaya Simba wakati mkataba wake ukiwa ukingoni na tayari kukiwa na taarifa ameshamalizana na mabosi wa Singida Big Stars ili kujiunga…
KIPA Beno Kakolanya ameishika pabaya Simba wakati mkataba wake ukiwa ukingoni na tayari kukiwa na taarifa ameshamalizana na mabosi wa Singida Big Stars ili kujiunga…
MZIKI wote wa Yanga umeondoka jana Alhamisi usiku kwenda DR Congo tayari kwa mechi muhimu ya kukamilisha hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho dhidi…
Kocha Mkuu wa Simba, Robert Oliviera ‘Robertinho ametimiza siku 83 tangu apewe kibarua cha kuinoa klabu hiyo kongwe hapa nchini Januari 3 akichukua mikoba ya…
Wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Kimataifa ngazi ya Vilabu, Simba SC na Young Africans watacheza mwishoni mwa juma hili katika viwanja vya ugenini nchini…
Licha ya kuwa na kibarua kizito cha hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ ameanza kupiga hesabu…
SAFARI ya kikosi cha Yanga ikielekea jijini Lubumbashi imeingia dosari baada ya kukwama Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere namba tatu kwa masaa…
March 31, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
BAADA ya kupona majeraha ya nyonga yaliyomuweka nje kwa kipindi cha miezi miwili, winga machachari wa Yanga, Mghana Bernard Morrison sasa yupo tayari kucheza mechi.…
SIMBA inatarajiwa kutua nchini Morocco muda wowote kuanzia kucheza mechi ya mwisho ya hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Casablanca lakini…
DIRISHA kubwa la usajili lililopita winga Jesus Moloko alibakiza hatua chache kutemwa lakini kiwango alichokionyesha baada ya hapo jamaa amepindua meza na sasa yuko mezani…