ISHU YA SIMBA KUACHANA NA ROBERTINHO, UONGOZI WAFUNGUKA HAYA
Klabu ya Simba imesema kuwa haijafikiria kuachana na kocha wake mkuu, Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo, ‘Robertinho’ raia wa Brazil kwani amefanya kazi nzuri na…
Klabu ya Simba imesema kuwa haijafikiria kuachana na kocha wake mkuu, Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo, ‘Robertinho’ raia wa Brazil kwani amefanya kazi nzuri na…
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wanashuka Dimbani muda mchache kutoka sasa kuwakabili wauaji wa Kusini, Timu ya Namungo FC. Yanga wanaingia katika…
Kocha Jamhuri Kihwelu Julio amesema kuwa, mabeki wa pembeni wa Simba SC, Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ na Shomari Kapombe wamechoka kwa kutumika muda mrefu, hivyo…
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia East Africa Radio, Nsajigwa Senior amesema kuwa kauli anazozitoa Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi zitakuja kumpa wakati…
Simba SC na Young Africans siyo ishu tena kushinda ugenini katika michuano ya Kimataifa inayoratibiwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’, isipokuwa zimeshauriwa kuweka…
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi, amesema ana wachezaji wengi wazuri katika kikosi chake jambo linalomfanya achukue jukumu la kutoa nafasi kwa kila mmoja kuonesha uwezo…
Kocha Mkuu wa Namungo FC, Cedric Kaze amesema licha ya Yanga Sc kuwa kwenye kiwango bora ila yeye kama mkuu wa benchi ya ufundi hawaogopi…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo