Latest Posts

MASTAA YANGA … HATURUDII MAKOSA

Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

Habari za SImba SC

MTEGO WA CHAMA DHIDI YA WYDAD UMEKAA HIVI

Kiungo mshambuliaji Clatous Chama anajadiliwa kwamba huwenda akaanza kwenye mchezo dhidi ya Wydad kutokana na kila alichokionesha kwenye mchezo dhidi ya Jwaneng Galaxy. Mchambuzi wa…

Habari za Simba

BENCHIKHA AMPA ONYO HILI JEAN BALEKE

Kocha Mkuu wa Simba SC Abdelhak Benchikha amemuonya Mshambuliaji wa timu hiyo, Jean Baleke kushindwa kutumia nafasi za mara kwa mara ambazo anazipata kwenye michezo…