Latest Posts

Habari za Simba

MANARA AMWAGIA SIFA HIVI NGOMA

Aliyekuwa Afisa Mhamasishaji wa Yanga,Haji Manara amesema kuwa Kocha Robertinho Oliveira alikua anakosea kumpanga Fabrice Ngoma katika eneo la kiungo cha ukabaji wakati kwa uhalisia…

MAN CITY, CHELSEA MAMBO SIO MAMBO TENA

Baada ya Everton kupokonywa alama 10, taarifa zinadai kwamba mabosi wa timu za Manchester City na Chelsea wako matumbo ni joto wakihofia kunyang’anywa alama zitakazozishusha…

WABELGIJI WAMFUATA MAXI

Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo